Randy Alcorn

Randy Alcorn (@randyalcorn) is the author of over sixty books and the founder and director of Eternal Perspective Ministries

Je, Usimamizi Wenye Mtazamo wa Milele Ni Nini? (What Is Eternity-Minded Stewardship?)

article - Randy Alcorn - كِسوَحِيلِ (Swahili)
Kuhusu suala la pesa na mali, Biblia wakati mwingine huonyesha msimamo mkali sana na wa kushtua. Tunaposoma Maandiko, ni kwa ajili ya kupata faraja, si kwa ajili ya kukabiliwa na mashambulizi dhidi ya mtazamo wetu wa ulimwengu, sivyo? Acha Mungu azungumze kuhusu upendo na neema, hiyo ni sawa. Lakini sisi tuzungumze kuhusu pesa na mali— kisha tuzifanyie chochote tunachotaka.
Previous Page 23 of 635 Next